RAIS DKT. MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID FATMA KIBANDA HATARI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya wananchi kudumisha amani na utulivu uliopo nchini, kwa kigezo kuwa ndio msingi wa maendeleo ya nchi. Alhaj Dk. Mwinyi amesema hayo, wakati alipojumuika pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu katika sala ya Ijumaa iliofanyika Masjid Fatma, Kibanda